HII ni rekodi mpya kwani tangu Tanzania ianze kuingiza timu nne katika michuano ya CAF ngazi ya klabu msimu wa 2019–20, ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza kwamba, kwa timu zote zilizofuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa ...
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la Tanzania, taifa hilo limefanikiwa kupeleka timu nne katika hatua ya makundi ya ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Ligi kuu kandanda ya Tanzania inaendelea hapo Jumamosi 19.10.2024 ambapo vigogo wawili Simba na Yanga wanatarajiwa kuonyeshana makali katika mchezo wa pili kwa timu hiyo kukutana baada ya ule wa ngao ...
Yanga ndiyo inaongoza kuchukua kombe la ubingwa wa Tanzania bara mara 24 na wapinzani wao Simba wapo nafasi ya pili kwa kunyakua kombe hilo mara 18 YANGA na Simba ndizo timu kubwa zinazoongoza kwa ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Timu za Yanga na Simba ambazo ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ngazi ya klabu barani Afrika, kesho na keshokutwa zinaanza kampeni ya kuwania michuano ya Kombe la klabu bingwa na kombe la ...
Kokuwa chocha wa kikosi cha klabu ya Yanga. ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga, ametimuliwa akiwa ameiongoza katika mechi nane, ...
BAADA ya kushuhudia timu yake ikipata kipigo cha bao 1-0 ugenini mbele ya Silver Strikers ya Malawi, Kaimu Kocha Mkuu wa ...