HII ni rekodi mpya kwani tangu Tanzania ianze kuingiza timu nne katika michuano ya CAF ngazi ya klabu msimu wa 2019–20, ...
Simba ambayo imekuwa na rekodi nzuri ya michuano ya kimataifa tangu msimu wa 2018–2019, inarudiana na Nsingizini Hotspurs ikihitaji kuendeleza ubabe wake mechi ikipangwa kuchezwa Jumapili ijayo Oktoba ...
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la Tanzania, taifa hilo limefanikiwa kupeleka timu nne katika hatua ya makundi ya ...
Ligi kuu kandanda ya Tanzania inaendelea hapo Jumamosi 19.10.2024 ambapo vigogo wawili Simba na Yanga wanatarajiwa kuonyeshana makali katika mchezo wa pili kwa timu hiyo kukutana baada ya ule wa ngao ...
Young Africans beat archrivals Simba SC 1-0 to retain the Community Shield trophy at the Benjamin Mkapa Stadium on Tuesday. Ivorian attacking midfielder Pacome Zouzoua scored the solitary goal in the ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Yanga iliondoka nchini jana kuelekea Zimbabwe ambako keshokutwa itachuana na wapinzani wao Township Rollers katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Ulaya, huku ikiwa nyuma kwa mabao 2-1 ...
Kokuwa chocha wa kikosi cha klabu ya Yanga. ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga, ametimuliwa akiwa ameiongoza katika mechi nane, akishinda sita, sare moja na kupoteza moja, huku timu yake ikiruhusu bao m ...
Azam baada ya kucheza mechi 11 imefikisha alama 27, jana iliishinda Singida United ya Singida kwa bao 1-0. Simba ilifikisha alama 23 baada ya jana kuibandika Rivu Shootinga mabao 5-0 huku mshambuliaji ...